Donald Andrew "Donnie" McClurkin, Jr. amezaliwa November 9, 1959. Ni raia wa Marekani anayefanya muziki wa INJILI huku pia akiendesha HUDUMA yake ya kiuchungaji. Lakini pamoja na hayo yoote ameshajishindia TUZO 3 za GRAMMY, TUZO 10 za STELLAR, TUZO 2 za BET, TUZO 2 za SOUL TRAIN, TUZO 1 ya DOVE, na TUZO 1 ya NAACP IMAGE.
Ni miiongoni mwa waimbaji wa muziki wa INJILI aliyeuza nakala nyingi mnoo, akiwa ameuza nakala MILIONI 10 Duniani kote, toka alivyoanza kufanya muziki huo mwaka 1996.
Natamani nione waimbaji wetu wakifikia viwango hivi, tuwasaidie kwa KUNUNUA kazi zao, tena zile HALISI. SHALOOM..!!

0 comments:
Post a Comment