Mshindi mara saba wa TUZO za GRAMMY, Bi.GLADYS KNIGHT ameamua kurudi kwa kishindo katika muziki wa INJILI. Kwani ameshakamilisha ALBUM yake ambayo ataiachia sokoni rasmi tarehe 9 ya mwezi SEPTEMBA.
Bi.GLADYS KNIGHT ambaye kwa sasa anafanya kazi na SHADOW MOUNTAIN RECORDS, ambapo ALBUM hiyo imepewa jina ikiitwa "WHERE MY HEART BELONGS." Kikubwa kilichomrudishia kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba, ameamua KUDHIHIRISHA IMANI yake, KUHUBIRI na KUMPENDEZA MUNGU pia.
Kila la kheri kwako Bibi Gladys Knight, lakini kwa wewe mpenda nyimbo za bibi huyu, basi jiandae ALBUM itatoka mwezi wa SEPTEMBA 2014. SHALOOM..

0 comments:
Post a Comment