Washindi kwaya wakisifu...... |
Mzee wa kanisa la KLPT parish ya Mbezi Luis, Bi G.Henjewele akifuatilia ibada kwa umakini. |
Members wa Jordan River Band wakisifu... |
Washirika wa parishi ya KLPT Mbezi Luis wakiwa makini na ibada... |
Mapacha wa Batwenga wakiwa kazini... VIPAJI ASILIA |
Washindi kwaya, kama lilivyo jina lao! hawana utani kabisa...! |
Kutoka kushoto, Mama Emmanuel (mzee wa kanisa), Marry Dongwe (mama mchungaji) na Mchungaji Meshack Bent Dongwe, wakiabudu.... |
OOOhhhh...Dear Lord Bless my ways!
ReplyDelete