Siku ya jumapili ilifanyika Makumbusho ya Taifa mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ambapo kulikuwa na vitu mbalimbali vilivyofanyika kama Dance R.I.O.T Dancers,Drama,Poetry,Bupeh alikuwepo na wengine wengi.
Mmeba maono Pastor Isaac Mallonga akizungumza katika Event hiyo alisema Jeans & Tshirt ni Event kwa lengo la Kuwaleta vijana kwa Yesu,siku ya Jana Vijana Kadhaa walipata kumpa Bwana Yesu maisha yao na wengine uhusiano wao na Mungu kurejea.
Imeonekana kuwa Event hiyio imekuwa msaada sana kwa vijana wa mjini maana Jeans & Tshirt event iliudhuliwa na vijana wengi na kupata muda wa Kuimba na Kucheza katika uwepo wa Mungu
Mwezi ujao Jeans & Tshirt Event itafanyika palepale Makumbusho ya Taifa mkabara na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
0 comments:
Post a Comment